Header Ads

Breaking News
recent

LEO MCHANA BAADA YA SHOW YA (The Beats 120) TRIPLE 'A' RADIO

All rights reserved by Victor Machota.

Calvin a.k.a DJ Young Star.Ni Dj mwenye umri mdogo kabisa lakini mziki wake ni wa kiutu uzima.Ofcoz ni Dj anayechipukia katika tasnia ya Udj, dogo hapo akiwa baada ya kupiga shoo ya kijanja ya "The Beats 120" Triple 'A' Radio.. Arusha.
Hapa nikiwa na Dj Young  Star muda mfupi baada ya kudondosha shoo ya ukweli Triple 'A' Radio Arusha, ambapo pia tulizungumzia issue ya Kilimanjaro Music Award.
Muite Kenedy The Remedy, jamaa anaye host sho ya The Beat 120 ndani ya Triple 'A' Radio iliyoko A town au Arusha.Kesho katika kipindi cha Bongo Hood kinachoanza saa kumi na mbili jioni hadi saa tatu usiku, atazungumzia issue atakuwa live na wahusika wa Kilimanjaro Music Award, so usikose kusikiliza napia kama unamaswali utauliza.


Crew iliyotoa bonge la show mchana katika kipindi cha The Beats 120 Triple 'A' Radio A TOWN.
Dj Young Star na Kenedy The Reme Dy!

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.