All rights reserved by Victor Machota.
![]() |
Hii ni gari iliyokuwa imebeba mwili wa msanii Whitney Elizabeth Houston kutoka kwao kuelekea kanisani. |
![]() |
Bobby Brown akiondoka katika eneo la Kanisa dakika 15 kabla ya maziko kumalizika. |
![]() |
Gari zenye rangi ya dhahabu zilizokuwa na mwili wa Whitney Houston zikielekea katika maziko. |
![]() |
Vyombo vya habari walikusanyika kuchukua tukio la maziko ya Whitney Houston. |
![]() |
CNN ilikuwa ikionyesha live katika screen kubwa mjini, shughili ya maziko ya Whitney Houston. |
![]() |
Bobby Brown mume wa zamani wa Whitney Houston akiondoka dakika 15 kabla ya maziko kumalizika. |
![]() |
Hawa ni mashabiki wa Whitney wakionekana kukusanyika sehemu tofauti tofauti wakiwa wamebeba picha za Whitney. |
![]() |
Mashabiki waliguswa sana kuondokewa kipenzi chao Whitney Houston. |
![]() |
Mashabiki wa Whitney hawakuweza kuhuzulia mazishi yake, lakini wengine walitumia darubini kuona. |