Header Ads

Breaking News
recent

MSANII MALFRED ANAOMBA KURA ZENU WADAU WA MUZIKI WAKE.

All rights reserved by Victor Machota.

Ndugu zangu  naombeni kura zenu,kuupigia wimbo bora wa Reggae Mazingira ft Lutan Fyah sms K1 kwenda 15747,wimbo bora wa Ragga Poyoyo sms M5 kwenda 15747 na Kudadadeki sms M4 kwenda 15747 na kwa internet  tuma kwenda ktma@innovexdc.com au ingia katika kilitimetz.com au teentz.com...shukrani za dhati kwa washabik wa muziki wangu na wadau wote wanaonisupport Malfredy katika Zoezi hili.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.