All rights reserved by Victor Machota.
LINAH ni mwanamuziki wa hapa Tanzania, ni mwanamuziki mwenye sauti yenye mvuto, kama mnavyofahamu nyimbo zake baadhi kama "Bora Nikimbie" Lonely na "Angalau"zilizoko katika Album yake inayokwenda kwa jina la "ATATAMANI".Mwaka huu wa 2012 amechaguliwa kuingia katika category ya Muimbaji Bora wa kike katika mpango mzima wa kupigiwa kura. WATANZANIA LINAH ANAOMBA KURA ZENU. KUMPIGIA KURA KWA NJIA YA SMS ANDIKA; D5 Tuma kwenda namba 15747 au unaweza kupiga kura pia kwa kutumia internet....www.kilitimestz.com au www.teentz.com
![]() |
Jennifer Lopez, left, and Cameron Diaz present at the 2012 Academy Awards. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA