Header Ads

Breaking News
recent

PRODUCER SAMTIMBER KUTOKA FNOUK RECORD...AJA NA KWAITO MPYA.

All rights reserved by Victor Machota.

Producer Samtimber (Fnouk Record Arusha)
 Baada ya producer Samtimber kutoka Fnouk Record Arusha, kuwatengenezea mawe ya ukweli baadhi ya wasanii kama Fid Q, Mabovu,N2N,VATOROCO, Dark Master na wengine kibao, sasa meamua kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "HAKAJAWAHI" aliyoimba yeye mwenye na akiwa yeye ndo producer wa hii track iliyo katika miondoko ya KWAITO , so wadau mpokeeni Samtimber.

Yeye mwenyewe alikuwa na haya ya kusema.MAMBO VP WADAU,EBHANA BAADA YA KUPRODUCE KWA MUDA MREFU, MIMI KAMA SAMTIMBER NIMEAMUA KUIMBA,NAHII NDO NGOMA YANGU YA KWANZA INAITWA HAKAJAWAHI,BT SINA HAKIKA KA NTATOA INGINE ZAIDI YA HII,CHEKINI NAYO,MKONO TOKA FNOUK STUDIOS ARUSHA"

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.