Header Ads

Breaking News
recent

"LIFE GAME" WIMBO MPYA ULIOZUNGUMZIA TABIA YA VYOMBO VYA HABARI NA WASANII.

All rights reserved by Victor Machota.


Msanii MB anayetokea pande za Terat,anakuja na pini jipya la "Life Game" aliorekodia noizmekah.com chini ya producer DefXtro,Muziki anaofanya mchizi ni hiphop,"Nipo karibu nanyi fans wangu mtegemee nyimbo zingine kali toka kwangu,Shout out kwa ORS pande za Terat mana ndipo niliporekod ngoma yangu ya kwanza na ikanitambulisha katika game la muziki,shukran kwa ma dj wote Tanzania kwa support. Kazi ambayo nitaiachia baada ya hii itakuja kwa jina la "Live bila Chenga"

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.