Header Ads

Breaking News
recent

ANNA PETER NA NICK WA 2 BONGE LA TRACK... "MOYO"

All rights reserved by Victor Machota.



Mwana dada Anna peter ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha EATV na Radio ametiririka shaaa! na track ambayo mie ningependa kuiita "usiumize moyo" badala ya "Moyo".Katika  track hii amezungumzia majonzi ya moyo, kwamba watu wengi wanaumiza moyo kuwaza pale wanapokuwa wamehudumia mpango mzima wa matumizi kwa wapenzi wao alafu wajanja wanasepa nae, lakini Ana anakwambia Usiutese moyo coz hayo yote yanapita.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.