All rights reserved by Victor Machota.
![]() |
J4C |
J4c a.k.a. Jooson round ingine tena aja kijamaica zaidi na time hii brother amepita juu ya "heart & soul riddim" toka visiwa vya reggae na track aloipa jina "Wish u to stay".
Pini limerekodiwa pande za noizmekah.com
chini ya defxtro na ni zawadi kwa mashabiki wa J4C...Inasemekana ngoma
hii ni special kwa mwanadafada mmoja mwenye ukaribu na msanii J4c japo
mchiz mwenyewe asema,"Hii track ilitokana na feeling ambazo ile riddim
ilinipa,nyimbo ni kuhusu real love na kusema kweli brother Dbanj
hakukosea kusema Love is a beautiful thing,when u love the right person
so na mimi nasema we all gotta be strong so that our love
survives!shout out kwa lovers wote wa reggae riddim music!!!one love...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA