All rights reserved by Victor Machota.
Machalii wa Ara a.k.a. Jambo squad watoto wa bibi wanafungua mwaka kwa kudrop kwaito jingine "Mamong'oo",Hili dude linazungumzia machalii wa kimasai na mitikasi ya town kwaito ni idea flan comedy na kwa wakati huo huo na kuelimisha jinsi gani kabila la wamaasai linadumisha mila.
Kimahadhi ni kwaito iliyorekodiwa pande za noizmekah.com chini ya producer Defxtro na machalii wa bibi walopita kati ni Nigga C,BaM na Odinari."mashabiki wanatupa sana support na tunashukuru sana,pia ushirikiano tunaopata toka kwa maproducer wetu Defxtro,John B,Dennis Mallya!Media zote pia zinazogonga pini zetu,Video ya disco malapa tuloshoot Grandmaster inamaliziwa na itatoka soon kwahivo wadau wakae mkao wa kubonya!!!!!!!!!
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA