Album Mpya ya Diamond Platnumz - ‘A Boy From Tandale’, Itaachiwa tarehe hii...
Albamu ya Diamond Platnumz ‘A Boy From Tandale’ yenye ngoma takribani 20 inatarajiwa kuachiwa mwezi ujao.
Album hiyo kwa mujibu wa meneja wa msanii huyo Sallam SK, inatarajiwa kutua rasmi mwezi ujao tarehe 16 huku ikiwa na hit kibao kama , ‘Hallelujah’ aliyoshirikisha Morgan Heritage’, ‘Waka Waka’ aliyomshirikisha Rick Ross, ‘Marry You’ aliyomshirikisha Ne-Yo , ‘African Beuty’ aliyomshirikisha Omarion pamoja na ngoma zingine alizofanya mwenyewe kama ‘ Sikomi’ pamoja na nyinginezo kutoka kwa wasanii kutoka Afrika.
Sasa unaweza kutoa Pre-Order ya albamu hiyo.
PAKUA NA KUSIKILIZA VIPINDI VYETU VYA REDIO HAPA>>> DOWNLOAD MP3

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA