Saturday, June 14 2025

Header Ads

Wafahamu kuku wenye asili ya weusi, nyama hadi mayai yake

Huenda kwa mazingira ya kawaida uliyokulia hujawahi kuona wala kusikia kuku mweusi kila kitu, lakini nikufahamishe kuwa, kuku aina ya Ayam cameni ni kuku weusi katika kila kitu; nyama, manyoya, hadi kiini cha yai.
Kuku hawa wanapatikana nchini Indonesia, ni watamu zaidi kuliko kuku wa kawaida. Siku hizi dunia kijiji unaweza kuwatafuta ukaanza ufugaji, kwani kuku wanalipa ukifuata maelekezo mazuri ya ufugaji. Karibu nikufahamishe mengi wakwetu.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

Leave a Comment

Powered by Blogger.