Header Ads

Breaking News
recent

Fahamu idadi ya aina ya ndege waliopo Tanzania

Tanzania ni kati ya nchi Barani Afrika na duniani, zinazotumika sana katika suala zima la utalii, tumeshuhudia hadi mwezi wa mwisho wa mwaka 2017, watu mbalimbali maarufu wakiitembelea Tanzania, hasa katika vivutio vya wanyama (mbuga za wanyama).

Tumeona wawekezaji wakubwa wakitembelea Tanzania na kupanga mikakati ya kuwekeza katika sekta mbalimbali, hii yote ni fahari ya watanzania na wana Afrika Mashariki kwa Ujumla.

Sasa nataka nikufahamishe kuwa,Tanzania ina zaidi ya aina 1,100 za ndege sawa na 10% ya ndege wote waliopo duniani.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.