Fahamu maneno ya mwisho ya Bob Marley aliyomwambia mwanae Ziggy Marley
Kuna maneno walimwengu wamekuwa wakiyatumia sana hasa kuhusu pesa, kwamfano "pesa sabuni ya roho" "Pesa ndio kila kitu".
Lakini leo ngoja nikufahamishe hili kuhusu Maneno ya mwisho ya msanii maarufu sana duniani kwa miondoko ya Reggae kutoka Jamica maarufu kama 'Bob Marley' alichomwambia mwanae Ziggy kabla ya kufa, "Fedha haiwezi kununua maisha."
Robert Nesta "Bob" Marley, alizaliwa mnamo mwezi Februari 6, 1945, Nine Mile, Jamaica.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

Bob alifariki mnamo mwezi Mei 11, 1981, katika hospitari ya chuo kikuu cha Miami.
Karibu tuendelee kukufahamisha mengi yaliyojificha wakwetu!!