Header Ads

Breaking News
recent

Vituko: Raia wa China apigwa faini ya kitita cha pesa baada ya kujichorea alama mpya za barabara kinyume na sheria

Vituko haviishi kila kukicha, na wahenga walisema akili ni nywele, sasa za huyu bwana zimemtuma kufanya hivi.

Nikufahamishe kuwa Raia mmoja wa China Surnamed Cai amepigwa faini ya Yuan 1000 baada ya kukutwa akichora alama mpya za barabarani kubadili mwelekeo wa trafiki, ili asichelewe kazini.

Zipo stori nyingi za kushangaza, endelea kutembelea Asili Yetu Tanzania Blog nikufahamishe mengi. 

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.