Header Ads

Breaking News
recent

Akshay Kumar aachia Poster ya Movie yake mpya ' Padman'

Kupitia ukurasa wake wa Twitter mkali wa movie kutoka India Akshay Kumar ameachia Poster ya Movie yake mpya inayoitwa 'PADMAN', huku akionekana katika posta hiyo hapo juu akiwa ameshikilia burungutu la pamba.

Akshay kupitia Twitter ameambatanisha ujumbe huu>>>"#PadManTalks : Mad only become famous!"

Padman imeongozwa na muongozaji R.Balki na imepangwa kuachiwaand January 26, 2017. Filamu hii mwanzoni ilipangwa kuachiwa April 2018 lakini baadae walibadilisha na kuamua waiachie January 2018.

Mbali na movie ya Padman, Akshay ana filamu kali nyingine kama 2.0 na Gold katika box lake.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.