Almasi kutoka Sierra Leone ambayo ni ya 14 kwa ukubwa duniani yauzwa New York
Almasi ya karati 709 ambayo
iligunduliwa na kundi la wachimba migodi nchini Sierra Leone mapema
mwaka huu imeuzwa kwenye mnada hii leo mjini New York.
Jiwe hilo la thamani liligunduliwa na Emmanuel Momoh, mhubiri wa kikiristo kwenye wilaya iliyo mashariki ya Kono.
Aliamua kuiuza kwa serikali badala ya kuwauzia madalali.
Chanzo: bbc swahili
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA