New Video: Sat B - 'Feel Love' Msanii kutoka Burundi.
Wanasema muziki mzuri ni mzuri tu, haijalishi imetumika lugha gani kuutengeneza, unaweza furahia sauti na vyombo vilivyotumika pia.
Nakupeleka hadi Burindi kwa msanii anayeitwa Sat B ameachia video mpya inayoitwa 'Feel Love'. Itizame hapo chini>>>
Nakupeleka hadi Burindi kwa msanii anayeitwa Sat B ameachia video mpya inayoitwa 'Feel Love'. Itizame hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA