Header Ads

Breaking News
recent

Video: Ramsey aliyewahi kucheza filamu na Marehemu Steven Kanumba atembelea kaburi la Kanumba.

Muigizaji kutoka nchini, Nigeria Ramsey Nouh ambaye alifanya movie moja itwayo 'King Of Devil' na marehemu Steven Kanumba, ametua nchini Tanzania wiki hii kwaajili ya kukutana na wasanii wa Bongo Movies ambapo siku ya leo alipata nafasi na kunywa chai na mama Kanumba na baadaye kwenda makaburini kwaajili na ibada. (Chanzo: Bongo 5)

Tazama ilivyokuwa hapo chini>>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.