New Music: Timbaland Ft. 6LACK - 'Grab The Wheel' (Audio)
Msanii na mwandaaji wa muziki maarufu kama Timbaland sasa amekuja na ngoma mpya aliyomshirikisha msanii 6LACK, wimbo unaitwa “Grab The Wheel” ambapo tulipata kusikia kionjo chake mwezi wa nane.
Album mpya ya msanii Timbaland itaachiwa katika robo ya kwanza ya mwaka 2018. Sikiliza wimbo wake mpya hapo chini>>>
Album mpya ya msanii Timbaland itaachiwa katika robo ya kwanza ya mwaka 2018. Sikiliza wimbo wake mpya hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA