Album Mpya ya Eminem - “Revival” nimekuwekea hapa nyimbo zote.
Msanii wa kitambo katika miondoko ya rap duniani maarufu kama Eminem hatimae leo ameachia album yake mpya.
Hii ni Album ya 9 kwa rapa huyu wa Detroit, album inaitwa “Revival“.Ina nyimbo 19 huku ikiwapa nafasi ya kusikika wasanii P!nk, Beyonce, Skylar Grey, Alicia Keys, Ed Sheeran, Kehlani na wengineo.
Sikiliza vionjo vya Orodha nzima ya album hii hapo chini>>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA