New Music: Jay Jones Ft. Lil Wayne – 'Go Crazy' (Audio)
Msanii aliyesaini Young Money, maarufu kama Jay Jones amekuletea ujio mpya kupitia ngoma yake mpya ya “Go Crazy” aliyomshirikisha Lil Wayne.
Wimbo huu utapatikana katika album yake mpya inayofuata ‘2000 Hollygrove‘ itakayoachiwa pia rasmi mwezi December 29th. Sikiliza wimbo wake mpya hapo chini>>>
Wimbo huu utapatikana katika album yake mpya inayofuata ‘2000 Hollygrove‘ itakayoachiwa pia rasmi mwezi December 29th. Sikiliza wimbo wake mpya hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania