Wednesday, April 16 2025

Header Ads

Music Review ya nyimbo zilizotoka leo kupitia kipindi cha HOT 112 Radio Show

Ni siku nyingine tena wapenzi wa muziki duniani kote, karibu katika sehemu ya kipindi cha HOT 112 RADIO SHOW kinachosikika kupitia mtandao. Leo kimeangazia muziki mpya uliotoka duniani kote pamoja na wasanii wa nyumbani walioachia ngoma zao 2017.

Chukua dakika 03:21 ufurahie huu mpango na kisha utupe maoni yako hapo chini>>>
Tunaomba maoni yako hapo chini, unapenda kusikia stori gani kwenye kipindi chetu cha dakika chache>>>

Leave a Comment

Powered by Blogger.