Zuena wa Bebe Cool akanusha kujifungua
Stori zinatoka nchi jirani ya Uganda hadi kwenye nyumba ya staa wa muziki nchini humo, Bebe Cool, kwa mujibu wa mtandao wa Howwe wa nchini humo Zuena mke wa Bebe Cool ni mjamzito kwa sasa.
Sasa juzi kati kumekuwa na stori kwamba Zuena kajifungua mtoto wa kiume, lakini kupitia mtandao wake wa kijamii, Zuena amekanusha kujifungua, inamaana mambo bado>>> Acha stori ziendelee
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA