Header Ads

Breaking News
recent

Taylor Swift aamua kutoa Orodha ya nyimbo zilizoko katika album yake mpya ya 'Reputation' baada ya kuvuja

Album mpya ya Taylor Swift, 27, 'Reputation' bado haijaachiwa lakini kwa Tweet moja tu. imeonesha orodha ya nyimbo zote zilizoko katika Album hiyo.

Hii ni baada ya orodha ya nyimbo hizo kuvuja mtandaoni kwa kiasi kikubwa, ndipo msanii Taylor kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kuamua kuachia picha hii hapo chini yenye orodha nzima ya nyimbo 15 zilizoko katika album yake ya nne na wasanii walioshirikishwa.

Reputation imepangwa kuachiwa Nov 10, chukua time angalia orodha nzima ya nyimbo zilizoko katika album hiyo hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.