Video ya Msanii P. Diddy akibadirisha jina
P. Diddy ambaye ndio msanii wa hiphop mwenye pesa nyingi zaidi akiwa na thamani ya dola bilioni moja ametangaza jina lake jipya.
Diddy anasema "Leo rasmi nitaanza kuitwa Love a.k.a. Brother Love, sitaitika tena nikiitwa Puffy, Diddy, Puff Daddy au jina lingine lolote"
Tazama video akiongea mwenyewe.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADDiddy anasema "Leo rasmi nitaanza kuitwa Love a.k.a. Brother Love, sitaitika tena nikiitwa Puffy, Diddy, Puff Daddy au jina lingine lolote"
Tazama video akiongea mwenyewe.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA