Header Ads

Breaking News
recent

Album mpya ya Taylor Swift 'Reputation' yazidi kufanya vizuri kimauzo

Novemba 10, 2017, ndio tarehe rasmi kwa msanii Taylor Swift kuachia albamu yake ya inayokwenda kwa jina la ‘Reputation’ ambayo mpaka sasa imeshafikisha mauzo ya kopi 400,000 ikiwa bado haijatinga sokoni.

Hii si mara ya kwanza kwa msanii Tylor kuuza kopi nyingi kwa muda mfupi, kwani amesha wahi kuuza kopi milioni 1 ndani ya wiki ya kwanza tu kwa albamu kama ‘1989′ iliyotoka mwaka 2014, pia albamu ya ‘Red’ iliyotoka 2012 na ‘Speak Now’ ya mwaka 2010.

Albamu ya ‘Reputation’ ni ya sita kwa msanii huyo katika maisha yake ya kimuziki na mazuo ya kopi hizo yanahusisha Marekani pekee.

Ikowazi kwamba Taylor Swift atauza  kopi nyingi zaidi punde tu albamu hiyo ikiingia sokoni.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
    

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.