Video ya Frederic Gassita Ft. Vanessa Mdee – 'Imara'
Msanii mkongwe kutoka nchini Gabon, Frederic Gassita ameachia video ya
wimbo wake mpya uitwao ‘Imara’ ambao amemshirikisha Vanessa Mdee.
Video
ya wimbo huo imeongozwa na director Fabass Konexion.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA