Header Ads

Breaking News
recent

Ligi kuu Uingereza (EPL) - Chelsea yaichapa Man United

Bao pekee la mhispania Alvaro Morata katika dakika ya 55 limeipa ushindi muhimu klabu ya Chelsea katika mechi dhidi ya Manchester United iliyofanyika jana mjini London.

Katika mechi nyingine iliyopigwa jana Vinara wa ligi kuu ya nchini Uingereza kwa sasa Manchester City walifanikiwa kuwatambia Arsenal kwa magoli 3-1 yaliyofungwa na De' Bruyne, Aguero na De Jesus huku la kufutia machozi kwa vijana wa Arsene Wenger likifungwa na Alexandre Lacazette.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.