Header Ads

Breaking News
recent

Selena Gomez apanga kumkutanisha Justin Bieber na wazazi wake ili kuweka mambo sawa

Wapenzi wa kitambo na mastaa Selena Gomez, 25, na Justin Bieber, 23, wamesahau yaliyopita na sasa wamejikita katika kufufua na kuboresha mahusiano yao mapya.
Hii ina kuja baada ya picha nyingi na stori za kila mara kuhusu kuwa pamoja ikiwa pia Selena kuachana na aliyekuwa mpenzi wake The Weeknd na kuamua kurudisha love kwa Justin Bieber zaidi ya mwanzo.

Sasa kwa taarifa zilizopo ni kwamba, Selena amepanga kumkutanisha na wazazi wake, ili kuondoa tatizo dogo lililobaki kwa wazazi kutomtambua Bieber baada ya yote yaliyotokea kipindi cha mwanzo.

Selena amepanga kurudusha mahusiano ya familia hizo mbili kwa siku chache zijazo ambapo atamwalika Bieber nyumbani kwake huko Texas Marekani.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.