Header Ads

Breaking News
recent

Movie mpya za Kihindi wiki hii

November,10th 2017 kama weweni ni shabiki mzuri wa filamu za kihindi, basi ufahamu kwamba kuna mizigo miwili itashuka, hivyo weka macho yako tayari tayari. Movie ya kwanza inaitwa Qarib Qarib Singlle, Imechezwa na Irrfan Khan, Parvathy>>>
Director: Tanuja Chandra
Ya pili ni Shaadi Mein Zaroor Aana
Imechezwa na Rajkummar Rao, Kriti Kharbanda na wengineo.
Director: Vinod Bachchan

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.