Header Ads

Breaking News
recent

Picha za kuapishwa Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa

 Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amekula kiapo cha kuchukua uongozi katika uwanja uliojaa umati mkubwa wa watu katika mji mkuu wa Harare.



Unaambiwa Uwanja wa michezo unaobeba watu 60,000 ulijaa huku raia wa Zimbabwe wakitaka kushuhudia kuapishwa kwa rais mpya. 
Picha na BBC

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.