Video: Vanessa Mdee arudiana na Jux
Msanii mkongwe wa muziki, Q Chief ametumia nyimbo zake ‘Nikilala Naota’
pamoja na ‘Uhali Gani’ kumsaidia Jux kumtuliza aliyekuwa mpenzi wake
Vanessa Mdee ili kulirudisha penzi hilo ambalo liliingia dosari. (Stori na Bongo 5)
Juhudi hizo zilizaa matunda na kufanikiwa, tazama hapo chini>>>
Juhudi hizo zilizaa matunda na kufanikiwa, tazama hapo chini>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA