Header Ads

Breaking News
recent

Picha za Beyonce zawavutia watu wengi

Msanii Beyonce,36, amekuwa akitupia picha kupitia mtandao wake wa Instagram ambapo ana follower milioni 108, huku zikionekana kuwavutia watu wengi zaidi mpaka baadhi ya vidume wakitamani kuipata nafasi ya Jay Z kwa mrembo huyo.
Mrembo huyo amefanikiwa kupata watoto wa tatu na Jay Z, akiwemo Blue Ivy na mapacha wao Sir na Rumi Carter.



No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.