Picha: Penzi la Justin Bieber na Selena Gomez lazidi kunoga
Baada ya miaka mingi Justin Bieber, 23, kuachana na mpenzi wake Selena Gomez, 25, sasa mambo yamerudi kama zamani, wawili hawa wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara na kudhihirisha penzi la kasi ya ajabu.
Kama unavyoona katika picha hizi zikionesha moja ya mtoko wa mastaa hawa wa muziki wakila bata pamoja.
Siku za hivi karibuni Selena alikuwa penzini na The Weeknd, lakini stori ni kwamba uhusiano wao umevunjika na sasa Justin Bieber anasimamia shoo.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA