Lil Kim amuwakia Nicki Minaj kwa kutoheshimu utawala wake katika Muziki wa rap
Mkongwe wa miondoko ya rap kwa wanawake, maarufu kama Lil Kim, 42, amemtupia lawama mkali wa rap Nicki Minaj, 34, kwa kile alichodai kuwa Nicki ameingia katika game ya rape na kutoheshimu utawala wake yeye aliyetangulia.
Kim amechonga hayo wakati akihojiana na kituo cha Radio cha Hot 97 FM cha Marekani. Kim pia amefunguka kuwa na collabo na msanii Remy Ma, 37, na kumsifia jinsi anavyomuheshimu.
Tanzama hahojiano yalivyokuwa hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADKim amechonga hayo wakati akihojiana na kituo cha Radio cha Hot 97 FM cha Marekani. Kim pia amefunguka kuwa na collabo na msanii Remy Ma, 37, na kumsifia jinsi anavyomuheshimu.
Tanzama hahojiano yalivyokuwa hapo chini>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA