Header Ads

Breaking News
recent

Lady Jay Dee na Mwana FA wamaliza tofauti zao, sasa ni kazi tu

Baada ya masahabi wengi kumiss muunganiko wa wasanii hawa wa muziki wa Bongo Flava, sasa leo November 16, 2016, Lady Jadee ameposti picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa studio za B Hit’s akiwa na Mwana FA na kuandika>>>"Last night#Muziki, bila shaka kuna kazi ya pamoja inakuja.

Lady Jaydee na Mwana FA wameshafanya hit songs zikatamba kama vile Hawajui, Msiache Kuongea, Alikufa kwa Ngoma na Wanaume Kama Mabinti bila kusahau ngoma walioshirikishwa na Ngwea ‘Sikiliza’.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.