Header Ads

Breaking News
recent

Jordin Sparks aolewa akiwa mjamzito

Msanii wa miondoko ya pop Jordin Sparks amethibitisha kuwa kwa sasa ni mke wa mtu na kwamba anategemea kupata mtoto wake wa kwanza na mume wake Rapa/Model Dana Isaiah.

Wawili hawa wamehojiwa na jarida la PEOPLE na kutoa taarifa hii nzuri, Jordin anasema walifunga ndoa kwa siri July 16 katika visiwa vya Hawaii na waligundua kuwa wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza mwezi August.

Jordin aliwahi kuwa na mahusiano na wasanii kama Jason Derulo, Steph Jones, Blake Lewis na Sage The Gemini.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>
Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.