Header Ads

Breaking News
recent

Fahamu vitu 5 kutoka kwa Yovanna Ventura ex' wa Justin Bieber

Kunastori zinaenea kuwa mpenzi wa zamani wa Justin Bieber, Yovanna Ventura anatoka na The Weeknd ikiwa ni baada ya Selena Gomez kupokonywa mikononi mwake na kurudi kwa Bieber.

Sasa hapa utamfahamu mwanadada na model Yovanna Ventura ambaye kwa sasa ana miaka 21, anatokea Miami Florida, ana followers zaidi ya milioni 5.2 katika mtandao wa Instagram.
 2.Yovanna anapenda sana kufanya mazoezi na mara nyingi anaonekana akiwa katika mazoezi na kutoa tips za masuala ya lishe kwa afya.

3. Anapenda sana wanyama, na mara nyingi huonesha picha akiwa na wanyama, hususani mbwa wake 'Tatum'.
4. Ni mrembo anayezingatia lishe na muonekano mzuri muda wote.

5. Yovanna alianza kuwa penzini na msanii Justin Bieber tokea mwezi May 2014.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.