Eminem Afunguka Kuhusu Donald Trump, Rick Rubin, Beyoncé
Baada ya msanii wa miondoko ya hip hop wa muda mrefu Eminem kunyakua tuzo mpya kama msanii bora wa Hip hop na kuachia single yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Walk On Water', sasa amenukuliwa akifunguka katika kituo cha Shade 45, kuhusu mastaa Donald Trump, Rick Rubin, Beyoncé na wengineo, tazama video hiyo hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADSUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA