Album ya Arjun Karpoor - 'Half Girlfriend ' (Audio)
'Half Girlfriend ' ni album ya muziki wa kihindi ulioimbwa na mkali Arjun Karpoor, kwa usaidizi wa mwanadada Shraddha Kapoor. Bilashaka utafurahi utakaposikia aina ya nyimbo zilizoko katika album hii, kwani nizataratibu flani hivi zilizojaa malavidavi.
Album hii imesheheni jumbe mbalimbali za mapenzi hasa kwa wale walioachana katika mahusiano na wale walioko katika mahusiano. Album ina nyimbo 9 kama vile;
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADAlbum hii imesheheni jumbe mbalimbali za mapenzi hasa kwa wale walioachana katika mahusiano na wale walioko katika mahusiano. Album ina nyimbo 9 kama vile;
1. Baarish
2. Thodi Der
3. Tu Hi Hai
4. Phir Bhi Tumko Chaahunga
5. Pal Bhar (Chaahunga reprise)
6. Lost Without You
7. Stay A Little Longer
8. Mere Dil Mein
9. Half Girlfriend Love Theme
Pia 'Half Girlfrend' ni filamu iliyojikita katika Riwaya. Sasa chukua nafasi usikilize mikwaju iliyoko katika album hii hapo chini>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA