Header Ads

Breaking News
recent

Album Mpya ya Vanessa Mdee...

Vanessa Mdee ameitaja tarehe ambayo ataitoa album yake ya kwanza, 'Money Mondays'

Kwenye mahojiano ya kipindi cha The Playlist, Vee Money amesema album hiyo inayosubiriwa kwa hamu itatoka tarehe 20 mwezi December.

Amedai kuchagua tarehe hiyo ili kuwapa mashabiki wake zawadi ya Chrismas.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
   

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.