Wanawake 19 Matajiri zaidi duniani
Mfaransa Liliane Bettencourt, 94, wa
maduka ya bidhaa za urembo L'Oreal, alikuwa ndiye mwanamke tajiri zaidi
duniani akiwa na mali ya $39.5bn. Alirithi biashara hiyo.
1. Alice Walton - $33.8bn
Utajiri: Wal-Mart
2. Jacqueline Mars - $27bn
Chanzo cha Utajiri: Pipi
3. Maria Franca Fissolo - $25.2bn
Chanzo cha Utajiri: Nutella, chokoleti
4. Susanne Klatten - $20.4bn
Chanzo cha Utajiri: BMW, dawa
5. Laurene Powell Jobs - $20bn
Chanzo cha Utajiri: Apple, Disney
6. Gina Ronehart - $15bn
Chanzo cha Utajiri: Uchimbaji madini7. Abigail Johnson - $14.4bn
Chanzo cha Utajiri: Usimamizi wa fedha
8. Iris Fontbona - $13.7bn
Chanzo cha Utajiri: Uchimbaji madini
9. Beate Hesiter - $13.6bn
Chanzo cha Utajiri: Maduka ya jumla
10. Charlene de Carvalho-Heineken - $12.6bn
Chanzo cha Utajiri: Heineken
11. Blair Parry-Okeden - $12.2bn
Chanzo cha Utajiri: Vyumba vya habari
12. Massimiliana Landini Aleotti - $9.5bn
Chanzo cha Utajiri: Dawa
13. Yang Huiyan - $9bn
Chanzo cha Utajiri: Biashara ya nyumba na ardhi
14. Katharine Rayner - $8.1bn
Chanzo cha Utajiri: Vyumba vya habari
15. Margaretta Taylor- $8.1bn
Chanzo cha Utajiri: Vyumba vya habari
16. Zhou Qunfei: - $7.4bn
Chanzo cha Utajiri: Skrini za simu za kisasa
17. Pauline MacmMillan Keinath - $6.8bn
Chanzo cha Utajiri: Cargill
18. Sandra Ortega Mera - $6.7bn
Chanzo cha Utajiri: Zara
19. Carrie Perrodo - $6.3bn
Chanzo cha Utajiri: Mafuta
Source: BBC Swahili
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA