Header Ads

Breaking News
recent

Picha Bobi Wine akiwa na familia yake

Katika mtoko wa siku leo tumeangazia msanii mkubwa na Mbunge kutoka Uganda ambaye amekuwa katika harakati za muziki nchini Uganda kwa muda sasa, na sasa kujiingiza katika siasa.

Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine anaonekana katika picha akiwa na familia yake, wote wakiwa na yuso zenye furaha.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.