Taylor Swift atoa teaser ya wimbo wake mpya unaofuata 'Gorgeous'
Mshindi wa tuzo 10 za Grammy, Taylor Swift, 27, ameachia kionjo cha wimbo wake mpya unaotoka katika album yake mpya ya sita 'Reputation', wimbo unaitwa 'Gorgeous'.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye mashabiki milioni104, Taylor ameweka kionjo hicho hapo chini>>>
![]() |
Taylor Swift wiki hii wakati akiwa katika listening part ya Album yake ijayo ya Reputation huko kwao Watch Hill, Rhode Island, |
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA