Header Ads

Breaking News
recent

Selena Gomez adokeza ujio mpya wa wimbo wake 'Wolves'

Msanii Selana Gomez, 27, tayari amedokeza ujio mpya wa wimbo wake mpya, uliobainika kuwa ni 'WOLVES' aliomshilikisha msanii Marshmello, 21, hii ni kupitia ukurasa wake wa Twitter wenye marafiki milioni 53.4.
Selena alionekana kutupia picha hizi mbili na kuashiria kuwa Octoba 25 ndio wimbo utadondoka.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.