Header Ads

Breaking News
recent

Staa wa filamu Jessica Alba kujifungua mtoto wa kiume

Mcheza filamu maarufu duniani Jessica Alba na Cash Warren wanatarajia kupata mtoto wa kiume kwa siku za karibuni.

Mtoto huyo anakuwa wa tatu baada ya binti zao Honor, 9, na Haven, 6, hii ni kupitia mtandao wake wa Instagram wenye mashabiki milioni 11.7 Jessica aliweza kushea kipande cha video kilichoashiria ni mtoto wa kiume.

Mtazame hapo chini>>>
A post shared by Jessica Alba (@jessicaalba) on
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
   

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.