Picha za harusi ya Joti za mwagika mtandaoni
Stori zimeenea mitandaoni baada ya picha za Joti kuenea akiwa katika harusi, sasa kupitia mtandao wake wa kijamaa Joti aliwatoa wasiwasi kuwa picha hizo sii za kutengeneza matangazo kama walivyomzoea akifanya.
Kupitia Twitter Joti ameandika hivi>>>"Nawashukuru wote mlionitakia kheri katika ndoa yangu. Nimeona meseji
zenu, nimefarijika sana. Kila mmoja kwa nafasi yake, Mungu ambariki."
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA