Header Ads

Breaking News
recent

Selena Gomez adaiwa kuandika wimbo na Justin Bieber wakati walipokutana juzi kati

Tetesi zilizopo kwa sasa ni kwamba juzi kati Selena Gomez, 25, alipokutana na Justin Bieber, 23, waliandika wimbo ambao huenda ukaja kuwa hit mara utakapoachiwa.

Lakini kwa upande wake The Weeknd mpenzi wa Selena wa sasa yeye ameshauri wimbo huo usiachiwe kwa sasa, bali uachiwe kwa siku za baadae.

Ziko stori zinazidi kutambaa kuwa Selena na Justin huenda mapenzi yao yakarejea upya kwa siku za usoni.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
    

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.