Picha + Video: Diamond Platnumz ashirikiana na msanii kutoka Marekani katika wimbo mpya 'Omarion'
Diamond Platnumz bado anazidi kupenya kimataifa na kufanya kazi na wasanii wakubwa kutoka Marekani.
Kama una kumbukumbu nzuri utakumbuka kuwa alishawahi kufanya kazi na Neyo, then Morgan Heritage na sasa RnB staa wa lebo ya Rick Ross, Omarion.
Sasa picha hizi na kipande cha video kimewaonesha wakali hawa wakishoot video ya wimbo wao, icheki hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADKama una kumbukumbu nzuri utakumbuka kuwa alishawahi kufanya kazi na Neyo, then Morgan Heritage na sasa RnB staa wa lebo ya Rick Ross, Omarion.
Sasa picha hizi na kipande cha video kimewaonesha wakali hawa wakishoot video ya wimbo wao, icheki hapo chini>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA