Star wa filamu Anushka Sharma ajitokeza kufanya Usafi India
Mwigizaji maarufu kutoka India, maarufu kama Anushka Sharma, amejitokeza katika zoezi la kufanya usafi maeneo ya ufukwe wa Versova beach India, ikiwa ni kumuunga mkono Waziri Mkuu wao
Narendra Mod.
Anushka anayetamba na filamu kibao kwasasa, ameonekana akiwahamasisha wananchi wao katika suala zima la kufanya usafi katika mazingira ya nchi yao. Sharma alinukuliwa akisema>>>“India ni nyumbani kwetu. Sote tunatakiwa kuifanya kuwa safi. Kufanya usafi kunaondoa magonjwa na kuleta ustawi mzuri,” Anushka.
Muigizaji huyu kwasasa yuko katika harakati za kurekodi movie yake inayoitwa 'Pari', iliyopangwa kuachiwa mwezi February 2018.
Anushka, kwa sasa yuko katika mkataba mnono na kampuni ya miwani ya Polaroid, kama balozi wa kampuni hiyo.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA